Kampuni ya UNHWA Yaisaidia NIMR Uvumbuzi Dawa za Mimea

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na  Mtendaji Mkuu wa kampuni ya UNHWA ya Jamhuri ya Korea Kusini  Bw. Young Woo Jin na ujumbe wake na uongozi wa NIMR walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo    Taasisi ya taifa ya utafiti wa magonjwa ya binadamu Tanzania (NIMR), imesaini mkataba wa ushirikiano na kampuni ya UNHWA ya Jamhuri ya Korea Kusini ambapo kampuni hiyo itaisaidia …