Nimnukuu Nani na Mimi ni Historia…!

Andrew Chale (kulia) akizungumza jambo na Maggid Mjengwa ‘Mwenyekiti’  wa Mjengwa Blog. ..Ni vya ‘Who Is Andrew Chale’,  ‘Nimnukuu Nani?’ na ”Mimi ni Historia’, Na Mwandishi Wetu MWANDISHI wa Habari nchini Tanzania, Andrew Chale anayeandikia magazeti ya Tanzania Daima na Sayari yanayotolewa na kampuni ya Free Media ya jijini Dar es Salaam, ambaye pia mwandishi ‘msaada’ wa blog za habari …