MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa nchini (NIDA) imesitisha mikataba ya wafanyakazi wa muda 597. Kwa mujibu wa taarifa ya Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Modestus Kipilimba kwa waandishi wa habari leo Dar es Salaam, imeamua kusitisha mikataba ya wafanyakazi hao kwa kile kukosa fedha za kuwalipa kwa sasa hasa ukizingatia majukumu waliokuwa wakifanya awali yanafanywa kwenye ngazi zingine. Alisema ktokana …
Mambo Yaharibika NIDA, Rais Amsimamisha Mkurugenzi
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Bw. Dickson Maimu na kumsimamisha kazi ili kupisha uchunguzi wa matumizi ya kiasi cha Sh. Bilioni 179.6 zilizotumika hadi sasa. Uamuzi huo wa Rais wa kutengua na kusimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu huyo umetolewa …
NIDA Waenda Maonesho ya Sabasaba Kujibu Maswali ya Wananchi
Na Mwandishi Wetu OFISI ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inashiriki Maonesho ya 39 ya Biashara Kimataifa ikiwa na lengo la kuwasaidia wananchi mbalimbali kujua hatua zilizofikia vitambulisho vyao kwa ambao hawajapata na taarifa nyingine za taasisi hiyo muhimu. Akizungumza na mtandao huu Ofisa Habari Mkuu Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Rose Mdami alisema moja ya shughuli wanazozifanya …
Serikali Yaahidi Kuisaidia NIDA Kufikia Malengo
NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima leo amefungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kilichofanyika katika Hoteli ya Kunduchi Beach ukumbi wa Kambarage, Dar-es-salaam na kuahidi serikali kuendelea kusaidia NIDA ili kufikia malengo ya serikali ya awamu ya Nne ya kila mtanzania kuwa amesajiliwa na kupata Kitambulisho chake. Akimkaribisha …
RC Awatahadharisha NIDA Juu ya Wahamiaji Haramu
Na Yohane Gervas, Rombo KUFUATIA uwepo wa wimbi kubwa la wahamiaji haramu mkoani Kilimanjaro, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa nchini (NIDA) imetakiwa kuwa makini katika zoezi la utambuzi na usajili wa watu mkoani humo kabla ya kutoa vitambulisho. Hayo yalisemwa jana na Mkuu wa Wilaya Moshi, Dk. Ibrahim Msengi, wakati akisoma taarifa ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidasi Gama …