MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya nchini (NHIF) leo umetoa elimu ya umuhimu wa viongozi wa Jumuiya ya Zawiyatul Qadiria kujiunga na mpango wa huduma za matibabu ya bima ya afya unaotolewa kwa makundi yenye malengo mbalimbali ujulikanao kama KIKOA. Akizungumza wakati akifungua semina kwa viongozi hao Kaimu Mkurugenzi wa NHIF, Eugine Ngoti alisema mfuko huo umelenga kuhakikisha unaendelea …
Mfuko wa Bima ya Afya Taifa Wasaidia Zahanati ya Kijiji Lindi
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Mfuko wa Bima ya Afya wa Taifa (NHIF) Bw, Rehani Athumani akikabidhi mashuka kumi kwa Khatib Said mwenyekiti wa kijiji cha Chumo Wilayani Kilwa mkoani Lindi yaliyotolewa na mfuko huo kwa ajili ya zahanati ya kijiji hicho wakati wa mwendelezo wa kampeni ya uhamasishaji wananchi kujiunga na huduma ya Afya ya Jamii CHF inayotolewa na …
NHIF Yajivunia Ushindi Mfululizo wa ISSA
KWA miaka mingi sasa, Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umekuwa mwanachama wa mashirikisho mbalimbali ya kimataifa ikiwemo Shirikisho la kimataifa la Taasisi za Hifadhi ya Jamii (ISSA), Shirikisho la Hifadhi ya Jamii la Nchi za Afrika Mashariki na Kati (ECASSA), na Shirikisho la kimataifa la Uchumi wa Afya (IHEA). Mashirikisho haya husaidia katika kubadilishana uzoefu katika maeneo mbalimbali, …