JK Azinduwa Kivuko cha Mafanikio na Mradi wa NHC Shangani Mtwara

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu akizungumza jambo na Rais Dk. Jakaya Kikwete mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa nyumba 30za makazi zinazojengwa  na NHC Shangani mkoani Mtwara zenye thamani ya shilingi bilioni 4.4, Kulia ni Waziri wa Ujenzi na Mgombea Urais mteule wa chama cha CCM, Dk John Pombe …

NHC Yazinduwa Rasmi Kituo cha Huduma kwa Wateja

Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza kuashiria uzinduzi rasmi wa kituo cha huduma kwa wateja cha Shirika hilo uliofanyika kwenye ukumbi wa Kituo hicho kilichopo Makao makuu ya Shirika barabara ya Ufukoni na Ali Hassan Mwinyi, jijini Dar es salaam, Kulia kwake ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susan Omari. Pichani …

Waziri Lukuvi Azinduwa Nyumba 40 za Gharama Nafuu Babati

Sehemu ya nyumba 40 za gharama nafuu zilizojengwa na NHC eneo la Mrara Babati mkoani Manyara ambazo zilifumguliwa rasmi na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Vangimembe Lukuvi. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi amehitimisha ziara yake ya kutatua migogoro ya Ardhi katika mikoa ya Mwanza, Arusha na Manyara na ameweza …