Teknolojia Mpya ya Mimba za Ng’ombe Yaja Tanzania

JITIHADA kubwa za Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya mifugo na ufugaji wa Tanzania zimepata msukumo mpya kufuatia uamuzi wa kujengwa kwa maabara ya kisasa kabisa ya matumizi ya teknolojia ya vinasaba ya kuboresha mbegu za mimba za ng’ombe inayojulikana kama embryo transfer. Maabara hiyo ya kisasa itajengwa katika eneo la Ranchi ya Mzeli, mkoani …