Kariakoo Family Development Foundation Yazinduliwa Rasmi…!

Wakongwe wa Kariakoo Senpai Yusuf Kivuli (kushoto) na Senpai Waheed  wakiwa katika shoo  ya Goju Ryu Karate  katika uzinduzi wa Kariakoo Family Development Foundation.   Mkurugenzi wa MMG, Ankal Muhidin Issa Michuzi akilishwa keki katika uzinduzi wa Kariakoo Family Development  Foundation    Picha ya Pamoja ya Wanakariakoo na Mgeni Rasmi.

Wanaharakati Ngazi ya Jamii Watoa Madai Uchaguzi Mkuu

Na Joachim Mushi, WANAHARAKATI Ngazi ya Jamii nchini wametoa madai kuelekea Uchaguzi Mkuu huku wakiiomba Serikali iharakishe mchakato wa uandikishaji daftari la kudumu la wapiga kura ili vijana wengi wanaostahili waweze kuitumia haki yao ya msingi ya kushiriki mchakato wa uchaguzi na ule wa kura ya maoni. Madai hayo yametolewa katika tamko lao lililotolewa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP …