Mashabiki Mechi ya Ngao ya Jamii Kulipa Shs 5,000

KIINGILIO cha chini kwenye mechi ya Ngao ya Jamii kuashiria uzinduzi wa msimu mpya wa Ligi kati ya Azam na Yanga itakayochezwa Jumapili, Septemba 14 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh. 5,000. Mechi hiyo itaanza saa 10 kamili jioni, na kiingilio hicho cha sh. 5,000 ni kwa viti vya rangi ya kijani na bluu vitakavyochukua jumla …