President Kikwete Addresses The 69Th UN General Assembly in New York

President Jakaya Mrisho Kikwete speaks during the “Every Woman, Every Child High Level Event” at the Trusteeship Council Chamber of the United Nations in New York. To his left is the UN Secretary General Mr. Ban ki Moon. President Jakaya Mrisho Kikwete exchange views with the Minister of State in Zanzibar’s First Vice President’s Office  Hon Fatma Abdulhabib Fereji before the …

Mama Salma Kikwete Atoa Changamoto Mkutanoni New York

Na Anna Nkinda – Maelezo, New York NCHI za Mashariki na Kusini mwa Afrika ikiwemo Tanzania zinakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa fursa za elimu kwa watoto wenye umri wa kwenda shule, ubora na usahihi wa elimu, masuala mtambuka kama Virusi vya Ukimwi (VVU) na Ugonjwa wa Ukimwi. Changamoto nyingine ni upatikanaji wa huduma rafiki za afya ya uzazi na …

Rais Kikwete Awasili New York, Marekani

Rais Kikwete akiagana na viongozi mbalimbali waliofika kumuaga katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Septemba 15, 2014. Kushoto ni Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilali Rais Kikwete akiagana na viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama waliofika kumuaga katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar …