NSSF Yaichabanga Jambo Leo 3-0, Wakimbia Uwanja…!

*Mpira wa Pete, New Habari Waogelea Magoli 46-2 MASHINDANO ya NSSF Media Cup yameendelea kupamba moto ambapo leo timu ya mpira wa miguu ya NSSF imeichalaza bila huruma timu ya Jambo Leo kwa magoli 3 kwa mtungi. Mchezo huo mkali ambao uliwafanya wachezaji wa timu ya Jambo Leo kukimbia uwanjani kutokana na mvua ya magoli mfululizo ulivunjika dakika ya 69. …