Uzinduzi wa Nembo Mpya ya Amref Jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi wa Amref Health Africa Tanzania, Dk. Festus Ilako (wa kwanza kushoto) Akimkaribisha Waziri wa Afya Dk. Seleman Seif Rashid kuzindua nembo mpya ya Amref. Waziri wa Afya, Mwenyekiti wa bodi ya kimataifa ya Amref Health Africa, Omari Issa, Dk. Festus Ilako na wafanyakazi wa Amref Health Africa Tanzania katika picha ya pamoja baada ya Uzinduzi. wadau na wageni waalikwa …