Dk Bilal Akutana na Uongozi wa Kampuni ya NEC ya Japan

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal leo amekutana na Uongozi wa Kampuni ya NEC yenye makao yake makuu jijini Tokyo nchini Japan. Ujumbe wa NEC – Japan umeongozwa na Rais wa Kampuni hiyo inayojishughulisha na masuala ya Mawasiliano na Teknolojia, Dk. Nobuhiro Endo. Ujio wa Kampuni hii nchini Tanzania unatokana na mwaliko wa …