Na Aron Msigwa – NEC TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeeleza kuwa Kura 234 ziliharibika katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo la Dimani, Zanzibar Januari 22, 2017. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Ramadhan Kailima amesema kuwa Wapiga Kura walioandikishwa katika jimbo la Dimani, Zanzibar ni 9,275. Amesema kati ya hao wapiga …
Tume ya Uchaguzi Kuendelea na Mafunzo kwa Wapiga Kura
Na Aron Msigwa – NEC Dar es salaam MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi itaendelea kutoa elimu ya Mpiga Kura kote nchini ili kuwajengea wananchi uelewa sahihi juu majukumu ya Tume na chaguzi zinazofanyika nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam Jaji Lubuva amesema baadhi ya wananchi wamekuwa …
Angalia Picha za Shughuli ya Lowassa Kuchukua Fomu NEC Ilivyosimamisha Dar
MGOMBEA wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa amechukua fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ya kuwania nafasi hiyo leo Jumatatu Agosti 10, 2015. Msafara wa Mgombea huyo ulioanzia kwenye Ofisi za Chama cha Wananchi CUF Buguruni na kuishia kwenye Ofisi za …
NEC Yahimiza Kujiandikisha Wapiga Kura Sherehe za Mei Mosi
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaendelea kuwahamasisha wananchi wote kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la wapiga Kura ili kuweza kupiga kura ya maoni na kuchagua viongozi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015. Hayo yamedhihirika leo wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani Mei 1, 2015 zilizofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo wizara mbali mbali ikiwemo taasisi binafsi …
Makambako Kuboresha Daftari la Kura
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA BIOMETRIC VOTER REGISTRATION (BVR) KATIKA KATA TISA (9) ZA HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO KUANZIA TAREHE 23/2/2015 HADI 3/3/2015.