“Watu wanaoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara, huwa hawa umwi umwi hovyo”, anasema Dkt.Yvonne K. Fullbright, mtaalam wa afya ya tendo la kujamiina. Baada ya nukuu hii kutoka kwa mtaalam, sio ajabu basi tukisikia kwamba faida kuu ya kwanza ni kuimarisha uwezo wa mwili wako kupambana na maradhi (strengthen your immune system). Uchunguzi uliofanyika Chuo Cha Wilkes huko …
Kama Una Mpango wa Kuoa au Kuolewa, Lazima Usome Hii! Sehemu ya 2
Juma lililopita tuliangalia masuala matanohttp://www.thehabari.com/habari-tanzania/kama-una-mpango-wa-kuoa-siku-moja-lazima-usome-hii , ambayo unatakiwa uzingatie kabla haujafanya maamuzi mazito ya kufunga ndoa na mpenzi wako. Leo tunaendelea na masuala matano ya mwisho, na kwa ujumla yake yanakuwa kumi. 6. Je wewe na mpenzi wako mnachangia dini? Kama mpo dini tofauti au hata madhehebu tofauti, basi ni kitu cha kuwa makini sana. …
Kwa nini watu hupoteza hamu ya kujamiiana?
Katika utafiti uliofanyika miaka ya karibuni nchini Marekani, imebainika kwamba kati ya ndoa 6,000 zilizovunjika, asilimia 57 zimesababishwa na mwenza mmoja au wote kupenda kuchati au kutumia intaneti kupita kiasi na hivyo kusababisha msisimko kupotea kati ya wenza wawili na hatimaye mwisho ni kupungua uwezo au hamu ya kujamiana. Ni kundi gani la wanawake lililo katika hatari ya kukumbwa na …
Sababu Kuu Tatu zinazopelekea Ndoa Kuvunjika!
Mtaalam wa masuala ya mapenzi na ndoa, Timothy Scheiman, anasema Talaka [divorce] huwa zinatokea na tofauti huwa ni nyingi zisizo na muafaka [irreconcilable differences], lakini talaka nyingi hutokea chini ya sababu kuu tatu, ambazo zinatokana na; kujamiiana; fedha; ndugu, jamaa, na marafiki. Scheiman anaendelea kuzichambua sababu hizo kuu tatu kama ifuatavyo: Kujaamiiana (Sex) Mtaalam anasema, kujaamiiana kumekuwa ni chanzo …