Freeman Mbowe, Ndesamburo Wanguruma Kilimanjaro…!

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi. Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe akiwa na Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge wa jimbo la Moshi mjini, Philemon Ndesamburo walipokutana wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway mjini Moshi, wengine ni Mwenyekiti wa …

Ndesamburo ‘Ang’atuka’ Ampa Kijiti Meya

Ndesamburo, Moshi Mjini, Meya Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakifuatili mkutano wa hadhara wa Chadema uliofanyika katika eneo la soko la Manyema. Katibu mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Moshi na Diwani wa Kata ya Kiusa ,Stephen Ngasa akizungumza katika mkutano huo wa hadhara. Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akiwasili katika …