Chama cha NCCR- Mageuzi Chamkosoa Rais Dk Magufuli

    Mkuu wa Idara ya Kampeni na Uchaguzi wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Faustine Sungura (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya chama hicho, Ilala jijini Dar es Salaam leo asubuhi wakati akimkaribisha Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia (katikati), kuzungumza kuhusu maazimio yaliyofikiwa  na Kikao cha Halmshauri Kuu ya Taifa cha kawaida kilichoketi Julai 16 mwaka huu. …

NCCR-Mageuzi; Hatujajitoa UKAWA, Wataja Majimbo Yao 19

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimesema taarifa zinazozagaa kuwa chama hicho kimejitoa ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) hazina ukweli wowote na kwamba hawawezi kujitoa kwa kuwa wao ni miongoni mwa waasisi wa ushirikiano huo uliozaliwa na mchakato wa Katiba mpya. Akizungumza na waandishi wa habari Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Nderakindo …

NCCR-MAGEUZI Waendelea ‘Kulia’ na Sera ya Elimu

 Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Zanzibar, Musa Kombo Musa (kulia), akimkaribisha Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, James Mbatia (katikati), ili azungumze na wanahabari Dar es Salaam leo asubuhi wakati akitoa tamko hilo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Mosene Nyambabe.    Hapa mkutano na waandishi wa habari ukiendelea.   Wajumbe wa Halmshauri Kuu (NEC) ya chama hicho …