Mavunde Afunga Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kati Dodoma

Na Mathias Canal, Dodoma MAONESHO na Mashindano ya mifugo Kitaifa sanjari na Maonesho ya Kilimo yametoa changamoto ya kuleta mapinduzi katika Ufugaji, Uvuvi, na Kilimo na kutoa ajira hususani kwa vijana kuwaongezea zaidi kipato na kuondoa umasikini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana na Ajira, Antony P. Mavunde wakati akifunga maonesho ya wakulima Nane nane Kanda …

Kikwete Awataka Watanzania Kuboresha Kilimo Nanenane Lindi

Na Eleuteri Mangi, Lindi WATANZANIA wameaswa kuboresha sekta ya kilimo ili kuleta mapinduzi ya kijani katika sekta hiyo kwa kuzingatia na kutekeleza sera ya kilimo kwa manufaa ya wananchi wote na taifa kwa ujumla. Kauli hiyo imetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete mwishoni mwa wiki alipokuwa akiwaaga wakulima na wafugaji wakati wa kufunga Sherehe …