Marehemu Mzee Francis Kitime Asafirishwa kwa Mazishi

BABA wa mwanamuziki mkongwe na nguli nchini Tanzania, John Kitime aliyefariki Agosti Mosi, 2015 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ya jijini Dar es Salaam amesafirishwa kuelekea mkoani Iringa tayari kwa mazishi. Marehemu Mzee Francis Raphael Kitime alisafirishwa jana baada ya kufanyika ibada ya kumuombea na kutoa heshima za mwisho kwa ndugu na jamaa wa familia ya marehemu waishio Dar es …