Coastal Union Wampa Uanachama Mwenyekiti TRFA

Na Mwandishi Wetu MWANACHAMA wa zamani wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga, Omari Famau amemuita Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Tanga (TRFA), Said Soud Mafya kutokana na uwezo aliokuwa nao wa kuzipandisha na kuzishusha klabu za soka mkoani hapa. Mwanachama huyo anayejulikana kwa jina la Omari Famau alitoa kauli hiyo jana wakati akizungumza katika mkutano …