CCM Yampongeza Mwenyekiti Mpya Himo, Hussein Jamal

Mwenyekiti Mpya wa mji mdogo wa Himo, Hussein Jamal akiwasili katika ukumbi wa King size katika mji wa Himo kwa ajili ya sherehe ya kupongezwa baada ya kufanikiwa kushinda kiti hicho. Baaadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi waliofika katika sherehe ya pongezi kwa mwenyekiti wa mji mdogo wa Himo. Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa Himo wakiwa katika sherehe hizo. Katibu wa Chama cha …