Mwenyekiti wa Chama cha UPD-Zigamimbaga, ambaye pia ni mwanaharakati wa vuguvugu la maandamano nchini Burundi, Mugwengezo Chauvineau. Hapa mwanaharakati huyo akisisitiza jambo kwa wanahabari. Salha MohamedMWENYEKITI wa Chama cha UPD-Zigamimbaga, ambaye pia ni Mwenyekiti wa vuguvugu la maandamano nchini Burundi, Mugwengezo Chauvineau, amewataka viongozi wa nchi za Afrika Mashariki kutokubaliana na maamuzi ya raisi Pierre Nkurunzinza kuwania kiti cha urais …
Unyama: Mwenyekiti wa Kijiji Auwawa, Viungo Vyake Vyapikwa
NI unyama wa kutisha umetokea katika Kijiji cha Songambele wilayani Mlele mkoani Katavi watu wawili wamemvamia Mwenyekiti wa Kijiji cha Songambele kisha kumuuwa kwa kutenganisha kichwa na kiwiliwili na sehemu zake za siri. Watu hao pia walimkata mkono wake mara mbili baada ya kufanya unyama huo kabla ya kuchukua viungo walivyokata kata kisha kuvitia kwenye sufuria, kuweka maji na kubandika …
JK Ateuwa Wenyeviti na Makamishna Tume ya Haki za Binadamu
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Makamishna wanne wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kama ifuatavyo:- Mwenyekiti: Bwana Bahame Tom Mukirya -NYANDUGA Ana Shahada ya Sheria, 1977 (Dar es Salaam), Shahada ya Uzamili ya Sheria, 1987, (London) na Diploma ya Uzamili ya Sheria, 1981 (The …
Masheikh Wampongeza Sitta Bunge la Katiba
Na Magreth Kinabo, Dodoma BAADHI ya viongozi wa dini wamempongeza Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta kwa kitendo chake cha kuliendesha Bunge hilo vizuri katika hali ya utulivu na amani. Kauli hiyo imetolewa leo na Sheikh Hemed Jalala kutoka Msikiti wa Ghadiir uliopo maeneo ya Kigogo Post jijini Dar es Salaam, ambaye aliambatana na Masheikh wengine ambao ni …