KANISA moja la Kianglikana nchini Uingereza limemuapisha mwanamke wa kwanza kuwa kasisi. Mchungaji Libby Lane ameapishwa katika sherehe iliofanyika eneo la York Minster, na atakuwa Kasisi wa Stockport ikiwa ni miezi sita tu baada ya kanisa hilo kumpigia kura ili kumaliza utamaduni wake wa wanaume kuwa makasisi. Kasisi huyo alisema kuwa iwapo uchaguzi wake utawafanya wanawake kubaini uwezo wao basi …
Mwanamke Kuingia Hedhi Nchini India ni Mateso
“SITAMWACHA binti yangu ateseke kama mimi ninavyoteseka nikiwa katika siku zangu. Familia yangu inafanya nijihisi najisi. Siruhusiwi kwenda jikoni, Siwezi kuingia hekaluni, Siwezi kukaa na wengine,” ni sauti ya Bi. Manju Baluni (32). Kuna hisia ya dhamira katika sauti ya Bi. Baluni. Alizungumza katika Kijiji cha Uttarakhand, Jimbo lenye miinuko mingi kaskazini mwa India. Nchini India, kuna ukimya kuhusu suala …
Bondia Maarufu wa Kike Kuzichapa Septemba 26 Ujerumani
BONDIA maarufu wa kike Mwafrika barani Ulaya, Bintou Yawa Schmill a.k.a “The Voice” anatarajiwa kupanda ulingoni Septemba 26, 2014 kupambana na bondia Mirjana Vujic katika ukumbi wa Stadthalle/ Saalbau Frankfurt-Nied, Mjini Frankfurt ujerumani. Bintou Yawa Schmill “The Voice” mzaliwa wa Togo ambaye anapigania uzito wa Welterweight – 64, urefu mita 1.71 historia yake alikuwa bondia wa ngumi za ridhaa kwa muda miaka mitano, kuanzia mwaka …
Kwa nini watu hupoteza hamu ya kujamiiana?
Katika utafiti uliofanyika miaka ya karibuni nchini Marekani, imebainika kwamba kati ya ndoa 6,000 zilizovunjika, asilimia 57 zimesababishwa na mwenza mmoja au wote kupenda kuchati au kutumia intaneti kupita kiasi na hivyo kusababisha msisimko kupotea kati ya wenza wawili na hatimaye mwisho ni kupungua uwezo au hamu ya kujamiana. Ni kundi gani la wanawake lililo katika hatari ya kukumbwa na …