Mwanahabari Lyassa Ataja Vipaumbele Vyake Uchaguzi TUCTA

MWANAHABARI mkongwe, Dismas Lyassa ambaye anagombea nafasi ya Urais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) leo amezungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam akitaja vipaumbele vyake endapo atafanikiwa kushinda katika nafasi hiyo. Lyassa ambaye kwa sasa ni Mhariri wa Biashara na Uchumi wa Gazeti la Mwananchi, alisema lengo lake kuu ni kuhakikisha anaifufua TUCTA kuwa hai na kuleta mabadiliko …