Na Joachim Mushi, Newala MIMBA za umri mdogo ambazo zimekuwa zikiwakatisha wanafunzi masomo Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara bado ni tatizo. Matukio ya mimba hizi kwa wanafunzi mbali ya kuwakatisha masomo yao zimekuwa zikitishia afya zao pia. Fatuma Rashid, 14(si jina lake halisi) ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Kipimi, Kata ya Makote Wilayani Newala ambaye alimaliza elimu ya darasa la …