Mbunge Joshua Nasari Ashiriki Mazishi ya Mwanafunzi IFM

Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh. Joshua Nasary akitoa salamu za Pole kwa wafiwa wote wakati wa mazishi ya Marehemu Emmanuel Pendael Pallangyo aliyefariki Tarehe 7.02.2015 na kuzikwa kijijini kwao Sing’isi Meru tarehe 12.02.2015 . Baba wa Marehemu Mzee Pendael T.  Pallangyo akitoa Salam zake za Mwisho kwa Mwanae Mpendwa Emmanuel Pallangyo Kaka Mkubwa wa Marehemu Elisante Pallangyo, akifuatiwa na Dada …