Wanafunzi Waliosoma Shule ya Sekondari Bwawani Waitembelea

   Baadhi ya wanafunzi waliosoma Shule ya Sekondari Bwawani tukiwa katika picha ya pamoja wakati wa kuelekea kuitembelea shule yetu hiyo.  Mwalimu Leornad Chintowa akiwakaribisha baadhi ya wanafunzi waliopata kusoma katika shule ya Sekondari ya Bwawani inayomilikiwa na Jeshi la Magereza nchini mara baada ya kuwasili kwa waliokuwa wanafunzi wa shule hiyo mapema leo.  Baadhi ya waliokuwa wanafunzi wa shule …

Elimu Inayotolewa Sasa Inamuandaa Mwanafunzi Kujitegemea- Serikali

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues akisalimiana na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na. Serikali ya Mtaa (TAMISEMI), Jumanne Sagini alipomtembelea ofisini kwake mjini Dodoma wakati wa ziara ya kikazi ya siku moja ya kukutana na wadau wa elimu walioshiriki mkutano wa kutathmini sekta …

Mwanafunzi Kidato cha Tatu Apotea

MTOTO WA KIUME DUZE DAVID TUSEKELEGE MWANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU KATIKA SHULE YA SEKONDARI AMKA ILIYOPO IGAWILO UYOLE MKOANI MBEYA AMETOWEKA NYUMBANI MAENEO YA SOWETO KWA MAMA JOHN TANGU TAREHE 04 JANUARY 2015. MTOTO HUYO NI MWEUPE WA KIMO CHA WASTANI, TUNAOMBA MTU YEYOTE ATAKAYE MUONA ATOE TAARIFA KATIKA KITUO CHA POLISI KILICHO KARIBU. TAARIFA YA POLISI NI RB …

Wanafunzi 15,120 Wapewa Vyeti vya Kuzaliwa Ilala

Na Fatma Salum, Maelezo JUMLA ya wanafunzi 15,120 wa Shule za Msingi na Sekondari katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam wameweza kusajiliwa na kupata vyeti vya kuzaliwa kupitia Mkakati wa Usajili na Kutoa Vyeti vya Kuzaliwa unaotekelezwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA). Hayo yamesemwa na Meneja Masoko, Mawasiliano na Elimu kwa Umma kutoka Wakala wa …