Thamani ya Uhai Haikadiriki…!

WANASAYANSI wanakadiria kuwa inagharimu zaidi ya dola za marekani trilioni elfu sita kuiga tishu na viungo vya mwili wa binadamu. Gharama hiyo ni mara 77 ya pato la dunia. Pamoja na gharama hii yote, hakuna hakikisho kwamba jambo hili litafanikiwa. Gharama hii haijumuishi akili aliyojaaliwa binadamu. Hii ni kulingana na utafiti uliofanywa na mwanasayansi Harold J. Morowitz wa chuo kikuu …