Mwambusi wa Mbeya City Atwaa Tuzo ya Kocha Bora Tz

KOCHA Mkuu wa timu ya Mbeya City, Juma Mwambusi ameshinda tuzo ya kocha bora wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kwa msimu wa 2013/2014. Hafla ya kukabidhi tuzo kwa washindi mbalimbali ilifanyika Mei 27 mwaka huu jijini Dar es Salaam, ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).   Mbali ya tuzo hiyo, Kocha Mwambusi …