Mama Samia Azulu Kaburi la Baba wa Taifa Kijijini Mwitongo

Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua kwenye kaburi la Baba wa Taifa nyumbani kwake Kijijini Mwitongo, kulia ni Mkuu wa Wilaya Butiama, Annarose Nyamubi akimsaidia. Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan (kulia) akiwasha mshumaa kwenye kaburi la Baba wa Taifa nyumbani kwake Kijijini Mwitongo, kulia ni …