JK Aipa Pole Familia ya Mwalimu Nyerere kwa Msiba

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salama za rambirambi kwa mama Maria Nyerere na familia yake kwa kuondokewa na mmoja wa wana familia yake, Bw. John Nyerere aliyefariki Mei 9,2015 katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam Pamoja na salamu hizi, Rais Kikwete ambaye yuko nchini Alrgeria kwa ziara ya kikazi, amefanya mawasiliano binafsi na Mama Maria na kumpa pole …

Wanafunzi na Mwalimu Wao Wafa kwa Radi Kigoma

Mwalimu Merina Sekilo aliyenusurika kupigwa na radi wakati akifundisha darasa la kwanza,ambapo wanafunzi 6 walifariki Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya mkoa wa Kigoma, Maweni akiongeza na Waandishi wa habari juu ya tukio la radi lililotokea hivi punde na kuuwa watu 8 Na Editha Karlo Karlo wa blog ya jamii,Kigoma WATU wanane wakiwemo wanafunzi sita na mwalimu wa shule ya msingi …