Rais Kikwete Awafariji Waliokumbwa na Mvua ya Mawe

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete Machi 12, 2015, alifanya ziara maalum ya kutoa pole kwa wahanga wa mvua iliyoandamana na mawe na kusababisha upotevu wa maisha ya watu na uharibifu mkubwa wa mali katika vijiji vitatu vya Kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga. Rais Kikwete amewasili mjini Kahama kiasi cha saa nane mchana …