Angalia Athari ya Mvua Zinazoendelea Dar es Salaam…!

   Kituo cha daladala za kwenda Gongolamboto cha Suwata Kariakoo kikiwa kimejaa maji hivyo  kuleta adha kwa watumiaji kufuatia mvuo hizo.  Dimbwi la maji likiwa mbele ya jengo la Yanga.  Daraja la Jangwani na Kituo cha mabasi ya mwendokasi kikiwa kimezingirwa na maji.  Magari yakipita kwenye dimbwi la maji barabara ya mtaa wa Lindi Ilala.  Moja ya vibanda wanavyoishi wananchi …

Mvua Zaua Watano Dar, Mamia Hawana Makazi, Mafuriko Kila Kona…!

MVUA kubwa iliyonyesha kwa siku mbili mfululizo tangu juzi imesababisha vifo vya watu watano huku mamia wakikosa makazi baada ya nyumba zao kubomolewa. Mvua hiyo iliyofikia kipimo cha milimita 132.5 kwa mujibu wa vipimo vilivyofanywa katika kituo cha Shule ya Msingi ya Maktaba, ilisababisha barabara kujaa maji na nyingine kuharibika na madaraja kadhaa kukatika. Mkurugenzi Mkuu wa Hali ya Hewa, …