Tamasha la Muziki Karibu Latangaza Nafasi za Ushiriki kwa Wasanii

UONGOZI wa Tamasha la muziki la Karibu wakishirikiana na Legendary Music Entertainment wametangaza nafasi kwa wasanii wa muziki na vikundi mbalimbali vya muziki kuomba nafasi za kutumbuiza kwenye tamasha la 4 kwenye uwanja wa Mwanakalenge, Bagamoyo Tamasha hilo lenye hadhi ya kimataifa litakua la siku tatu mfululizo litakalofanyika tarehe 3-5 Novemba mwaka huu. Watumbuizaji katika tamasha hili ni wasanii wa …

Bendi 10 Maarufu Kutumbuiza Jukwaa Moja Leaders Dar

   Baadhi wa wadau wa muziki wa dansi na wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.  wanahabari wakichukua taarifa hiyo.  Mdau wa muziki wa dansi, Asha Baraka akizungumza katika mkutano huo kuhusu tamasha hilo la kukata na shoka ambalo alijawahi kufanyika hapa nchini.  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wanamuziki hao kuhusu tamasha hilo la muziki wa …

Vyama vya Muziki Vyatakiwa Kufuata Taratibu Kabla ya Kukutana na Viongozi wa Serikali

Na Benedict Liwenga, WHUSM VYAMA vya Muziki nchini vimetakiwa kufuata, Sheria, Taratibu na Kanuni pindi Wanachama wake wanapopanga kukutana na baadhi ya Viongozi wa Serikali. Ushauri huo umetolewa leo jijini Dar es Salaam na Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa masuala ya Lugha, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Husna Kitogo ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Sanaa Wizarani hapo wakati alipokutana …

EFM Kuendeleza Tamasha la Muziki Baa kwa Baa

Na Dotto Mwaibale KITUO cha Redio cha EFM kimeamua kuendelea kufanya tamasha la muziki Bar kwa Bar baada ya kumalizika kwa tamasha hilo kwa awamu ya kwanza. Hayo yalibainishwa na Meneja Mkuu wa Mawasiliano wa kituo hicho, Denis Ssebo wakati akizungumza na waandishi wa habri Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu tamasha hilo.   “Baada  ya kumalizika kwa Tamasha la mziki …

Mr Ebbo afariki dunia

MWIMBAJI nguli Tanzania aliyeibuka na staili ya bongofleva kwa ‘tune’ na staili ya Kimasai, Abel Rusheraa Motika, almaarufu – Mr Ebbo amefariki dunia. Habari za uhakika zilizolifikia gazeti hili alfajiri ya leo zinaeleza kwa Mr. Ebbo alifariki kufuatia kusumbuliwa na ugonjwa wa kichomi kwa muda mrefu. Amefariki akiwa nyumbani kwa familia yake, maeneo ya Usa River, Arusha. Mwanamuziki huyo alifahamika …