Marehemu Meja Jenerali Muhiddin Kimario Azikwa

 Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) Marehemu Muhiddini Kimario katika  makaburi ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi Jumamosi Oktoka 11, 2014.  Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) Muhiddini Kimario katika  makaburi ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi Jumamosi Oktoka 11, 2014.  Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa …