Mtuhumiwa Dawa za Kulevya Auwawa Akitoroka Mahakamani

HABARI ambazo zimetufikia hivi punde zinasema mtuhumiwa mmoja dawa za kulevya raia wa Nigeria amepigwa risasi na kufa papo hapo baada ya kujaribu kutoroka chini ya ulinzi wa askari. Tukio hilo limetokea leo majira ya asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu ya jijini Dar es Salaam ambapo mshtakiwa huyo pamoja na wenzake walikuwa wamefikishwa kwa ajili ya kusikilizwa …