Mtoto wa Miaka 3 Abakwa na Ndugu, Ateswa…!

HUKU kukiwa na ukimya, mtoto Neelofar mwenye umri wa miaka mitatu pekee amepakatwa na nyanyake katika kiti cha nyuma cha texi ikimkimbiza hospitalini. Ndani ya mwili wake kuna kijipaipu ambacho amewekewa kutumiwa kumpa dawa kama huduma ya kwanza kabla ya kufikishwa hospitalini. Mkono wake mmoja umefungwa kwa bandeji ambako kuna kifaa kinachotumiwa kuingizia maji mwilini mwake. Mtoto Neelofar yuko hali …