Daraja Mto Kilombero Kukamilika Novemba-Prof. Mbarawa

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amesema Serikali imejipanga kuhakikisha ujenzi wa daraja la mto Kilombero unakamilika ifikapo mwezi Novemba mwaka huu ili kumaliza changamoto ya usafiri inakabili wanachi wa wilaya za KILOMBERO na ULANGA mkoani MOROGORO. Prof. Mbarawa ametoa kauli hiyo Wilayani KILOMBERO mkoani MOROGORO mara baada ya kukagua maendeleo ya kivuko cha MV- KILOMBERO kilochokuwa …