SISI Mtandao wa Wanawake wa Katiba na Uchaguzi kwa uratibu wa TGNP Mtandao, tunampongeza Mhe. Dk. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa juhudi zake anazozionesha katika kudhibiti matumizi mabaya ya rasilimali za umma ikiwa ni pamoja na kupunguza ukubwa wa serikali na kusimamia kikamilifu utendaji kazi katika ofisi za umma ili kuongeza ufanisi ikiwamo kuokoa …
Mtandao wa Wanawake na Katiba Waeleza Sababu za Kuunga Mkono Katiba Inayopendekeza
MTANDAO Wanawake na Katiba nchini pamoja na Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) wamesema wanaunga mkono Katiba iliyopendekezwa na kujivunia hatua waliopiga katika kudai haki mbalimbali za mwanamke kwenye Katiba hiyo ukilinganisha na ile ya Mwaka 1977. Mtandao huo umetoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam katika mkutano na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari kuzungumzia hatua ambayo mtandao huo …
Mtandao wa Wanawake na Katiba Kuelimisha Katiba Inayopendekezwa
MTANDAO wa Wanawake na Katiba, TGNP pamoja na mashirika mengine yanayotetea haki za binadamu wameahidi kushirikiana kutoa elimu ya uraia na uhamasishaji juu ya Katiba inayopendekezwa baada ya kutangazwa kwa muda rasmi wa kuanza kwa zoezi hilo kwa jamii ili kuelimisha zaidi wananchi juu ya Katiba nayopendekezwa. Kauli hiyo imetolewa katika Kongamano la Wanaharakati Kujadili masuala muhimu kwenye mchakato wa …
Mtandao wa Wanawake na Katiba Wawapongeza Wajumbe wa Bunge la Katiba…!
n] MTANDAO wa Wanawake na Katiba Tanzania umewapongeza wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na hasa wajumbe waliokuwa mstari wa mbele kupigania masuala mbalimbali yaliyokuwa yanapendekezwa na mtandao huo juu ya uwepo wa Katiba inayopendekezwa yenye mtazamo wa kijinsia. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Prof. Ruth Meena akizungumza na …
Mtandao wa Wanawake na Katiba Wazungumzia Mchakato wa Katiba
MTANDAO wa Wanawake na Katiba umevitaka vyombo vya habari kuacha kuyumbushwa na upepo wa kisiasa katika suala zima la kupigania mambo ya msingi kwa jamii ambayo yanaitaji kuingizwa kwenye Katiba mpya kwenye mchakato unaoendelea hivi sasa wa kuandika katiba mpya. Kauli hiyo imetolewa na baadhi ya wajumbe wanaounda mtandao huo jijini Dar es Salaam walipokuwa wakizungumza na wahariri wa vyombo …