Arusha Yachaguliwa Kujiunga Mtandao wa Miji 100 ya Kustawi Kiuchumi

  MJI wa Arusha umechaguliwa pamoja na miji mingine 32 kujiunga na mtandao wa miji 100 ya kustawi kiuchumi. Tangazo hilo limetolewa wakati wa Mkutano wa Kilele wa Taasisi ya Rockefeller Foundation mjini Singapore.   Hili wimbi la pili la majiji litaungana na majiji 32 ambayo yalishinda Changamoto ya Majiji 100 yaliyoweza kustawi tena kiuchumi mwaka jana na kutengeneza mtandao unaokua …