DC Azinduwa Mtambo wa Nitrogeni Mpanda

Na Kibada Kibada- Katavi MKUU wa Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi, Paza Mwamlima amezindua Mtambo wa Kuzalisha Kimiminika cha Nitrogeni utakaotumika katika kuhifadhi mbegu bora za mifugo kwa ajili ya uhamilishaji mifugo na kuwezesha upatikanaji wa kosaafu za ng’ombe zenye tija. Akitoa Taarifa ya Mtambo huo, kwa Mkuu wa Wilaya Ofisa Mifugo kutoka Idara ya Mifugo na Uvuvi Laurensi Elias ameeleza kuwa Mtambo huo uliletwa …