Neema ya Maji Dar Yaanza, Dawasco Wawasha Mtambo Ruvu Chini

Na Aron Msigwa – MAELEZO, Dar es salaam HATIMAYE moja ya Pampu kubwa katika mtambo wa kuzalisha Maji kwenye chanzo cha maji cha Ruvu Chini, Bagamoyo mkoani Pwani imewashwa kwa majaribio kufuatia kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa bomba kubwa la kusafirishia maji lenye urefu wa kilometa 55.9 kutoka chanzo hicho kwenda jijini Dar es salaam. Majaribio hayo ni sehemu …