JK Ataja Hatua Saba Zinazofanywa Kupunguza Msongamano Dar

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ametaja hatua saba ambazo Serikali yake imeanza kuzichukua ili kukabiliana na msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam. Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa msongamano wa magari ni ishara ya ubora wa maisha ya wananchi na ustawi wa Watanzania kwa sababu miaka 20 ama hata 10 iliyopita, Jiji la Dar …