Matukio Msiba wa Mama Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale Jijini Dar‏

Bi. Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wake  Baadhi ya waombolezaji wakitoa pole kwa ndugu na jamaa katika msiba wa  marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu, ambaye ni mama mzazi wa wanahabari Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale Mbagala Kuu, jijini Dar es Salaam.  Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika jijini Dar es Salaam.   Baadhi ya waombolezaji …