Msiba Mzito Arusha, Majonzi Yatawala, Maombolezo Kila Kona…!

    JIJI la Arusha na viunga vyake leo limezizima kwa manjozi wakati miili ya wanafunzi 32, walimu Wawili na Dereva wao mmoja wote kutoka shule ya Lucky Visent ilipoagwa rasmi kitaifa kabla ya mazishi yao. Hali hiyo ya majonzi na maombolezo imetawala Tanzania nzima tangu kutokea kwa taarifa hizo za kusikitisha zilizomgusa kila mmoja. Kwa mara ya kwanza idadi kubwa …

Mama Salma Kikwete Ashiriki Msiba wa ‘Banza Stone’

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akilakiwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Bw. Godfrer Mngereza alipowasili kujiunga na familia na waombolezaji katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja “Banza Stone” Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 18, 2015. Marehemu Banza Stone, aliyefariki jana mchana baada ya kuugua kwa muda mrefu,  amezikwa leo jioni …

Meneja Gazeti la Jambo Leo Afariki Dunia…!

 Marehemu  Ramadhani Kibanike enzi za uhai wake.  Mhariri Mkuu wa Gazeti la Jambo Leo, Julian Msacky na Mwandishi wa Habari, Stela Kessy (kulia), wakiendelea na kazi huku wakiwa na hudhuni baada ya kupokea taarifa ya kifo cha Kibanike leo jioni.  Mwanahabari Celina Mathew akilia kwa uchungu baada ya kupokea taarifa hiyo.  Ofisa Matangazo, Kinai akiwa amepigwa butwaa kutokana na  kifo …

Vanessa Mdee Apata Pigo la Msiba…!

Muimbaji mahiri Vanessa Mdee amefiwa na dada yake mkubwa Anna Mdee, ambaye amefariki katika hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam,  jana Jumatano alfajiri. Anna ambaye alikuwa mfanya kazi wa kampuni ya sigara ya TCC na alikuwa katika kituo cha Dodoma kwa muda mrefu alikuwa India akipatiwa matibabu. Anna na Vanessa ni watoto wa marehemu Sammy Mdee, aliyekuwa mwandishi mkongwe aliyewahi kuongoza gazeti la Daily …