Laurean Rugambwa Awa Mkurugenzi Mtendaji MSD

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Laurean Rugambwa Bwanakunu kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bohari ya Dawa (MSD). Taarifa iliyotolewa Dar es salaam Julai 6, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, inasema kuwa uteuzi wa Ndugu Bwanakunu unaanzia Juni 23, mwaka huu, 2015. Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Bwanakunu alikuwa Mkurugenzi Mtendaji …

Wafanyakazi wa MSD Katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa (MSD), Bw. Cosmas Mwaifani akifungua sherehe za Siku ya Akina Mama Duniani zilizofanyika. Bi. Mwakipunda akizungumza na wafanyakazi wa (MSD) wakati wa sherehe hizo  Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Akina kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili,.Matlida Ngarina aliyeAlikwa kwa ajili ya kutoa mada kuhusiana na magonjwa ya akina mama, akizungumza na wafanyakazi wa (MSD)  Mjasiriamali  maarufu wa saluni …

Serikali Isikwepe Kulipa Madeni MSD Kuokoa Maisha ya Watanzania

SIKIKA imesikitishwa na tamko lililotolewa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, kuhusiana na kushindwa kwa vituo vya huduma za afya kununua dawa MSD kutokana na kuongezeka kwa deni. Ni wazi kuwa waziri hajalipa tatizo hili uzito unaotakiwa na kutambua kuwa baadhi ya wagonjwa wanaweza kupoteza maisha kutokana na tatizo hili. Sikika inatambua kuwa, mapato yatokanayo na uchangiaji katika …