Msajili Vyama vya Siasa Aonya Zomea Zomea ya Mashabiki

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MSAJILI wa vyama vya siasa nchini ameonya tabia ya baadhi ya wanachama na mashabiki wa baadhi ya vyama ambao wameibua mtindo wa kuwazomea wanachama wa vyama vingine na wakati mwingine kuwarushia mawe wanachama hao wanapokuwa wamevaa rangi ya vyama vyao. Jaji Francis Mutungi ametoa onyo hilo katika taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari …