Msafiri Diof wa Twanga Pepeta Avunja Mayai Jukwaani

RAPA nyota na mwimbaji wa muziki wa dansi, Msafiri Diof ambaye kwa sasa amerudi katika Bendi ya Twanga Pepeta juzi aliwashangaza mashabiki wa bendi hiyo baada kupanda jukwaani na kuvunja mayai mawili mbele ya jukwaa akidai ni ishara ya kujikinga na nuksi zozote baada ya kurejea tena kwenye bendi hiyo. Diof alifanya vituko hivyo juzi wakati akitambulishwa rasmi na bendi …