Kampuni ya TTCL Yatoa Msaada wa Pasaka kwa Yatima

      KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imetoa msaada wa vyakula mbalimbali na vinywaji katika vituo vya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kwa ajili ya kusherekea Siku Kuu ya Pasaka. Msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni nne umetolewa leo Makao Makuu ya TTCL jijini Dar es Salaam ikiwa ni utaratibu wa kampuni hiyo kurejesha sehemu ya faida kwa …

TTCL Yawafariji Yatima Siku Kuu ya Mwaka Mpya

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Simu nchini Tanzania (TTCL) imeamua kusherehekea Siku Kuu ya Mwaka Mpya 2016 pamoja vituo vya watu wenye mahitaji maalum, wanaoishi katika mazingira magumu na wazee wasiojiweza kwa kutoa msaada wa vyakula, vinywaji na mavazi kwenye vituo vitatu tofauti jijini Dar es Salaam. Akizungumza jana wakati wa zoezi la kutembelea vituo hivyo na kukabidhi msaada kwa …

Kituo cha Afya Buguruni Chanufaika na Msaada wa TTCL

KAMPUNI ya Simu nchini Tanzania (TTCL) leo imekitembelea kituo cha Afya cha Buguruni cha jijini Dar es Salaam na kutoa misaada mbalimbali ya vifaa pamoja na dawa kwa ajili ya kukiwezesha kutimiza majukumu yake ya kuwahudumiwa wagonjwa mbalimbali wanaokitegemea kituo hicho. Katika zoezi hilo, TTCL imekabidhi mashuka 100, Vyandarua 100, Maboksi ya dawa mbalimbali pamoja na vifaa tiba ili kukabiliana …