Japan Yaipa Tanzania Bilioni 116.4 Kusaidia Bajeti

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini hati mbili za makubaliano na Serikali ya Japan itakayoiwezesha Tanzania kupata kiasi Yen Bilioni 6 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 116.4 za Kitanzania. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kusaini hati hizo, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dk. Servacius Likwelile alisema mkataba wa …