Banki ya AZANIA Yatoa Msaada wa Madawati 75 Kondoa

 Mkurugenzi  Uendeshaji wa  Azania Bank, Nurdin Semnangwa akizungumza katika hafl fupi ya kukabidhi hundi ya shs. milioni 6 kwa Mfuko wa Maendeleo wa Kondoa (KDF) jijini Dar es Salaam itakayosaidia ununuaji wa madawati katika Wilaya za Kondoa na Chemba mkoani Dodoma. Na Mwandishi Wetu BENKI  ya Azania Ltd imetoa madawati 75 kwa Mfuko wa Maendeleo wa Kondoa (KDF) ikiwa ni …

Access Bank Yatoa Msaada wa Kompyuta kwa Shule ya Sekondari Azania

 Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta Mkuu wa Shule ya Sekondari Azania, Mwl. Benald Ngonzie (kushoto), wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni wanafunzi wa shule hiyo. Benki hiyo jana ilitoa msaada wa kompyuta 10 kwa shule hiyo zenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni.  Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta …